Moja ya show zilizopendwa na mashabiki wengi kwenye Fiesta 2013 ilikuwa ni kutoka kwa msanii wa Man made music Iyanya Mbuk.
Hivi sasa amepost picha mpya ikionyesha tatoo yake mpya ambayo ina majina ya mama na baba yake pamoja na kaka yake ambao wote pamoja walifariki kwenye kipindi kifupi cha miaka 2 kati ya 2008 na 2010.
Baba yake alifariki wakati Iyanya anajiandaa kuingia kwenye
mashindano ya MTN Project Fame West Africa Season 1 ambapo ndipo
alipotokea kwenye muziki.
Caption ya picha hiyo ameandika hivi ,“Tattoo of my Late Dad !! Late Mum and Late Brother who all died in just a short time between 2008- 2010 RIP”.
credit: ayo
0 comments:
Post a Comment