Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi
aka Sugu, ameshare picha zinazowaonesha akiwa na mwanae pamoja na mama
wa mtoto wake huyo, Faiza Ally, waliamua kupark usafiri wao pembeni ya
barabara na kufurahia mandhari ya kuvutia ya Mlima Kitonga, mkoani
Iringa. Tazama picha zao.
Tuesday, February 25, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment