Swala
la kukauka kwa uke mara baada ya mwanake kufika kileleni ni la kwaida
kwa wanawake wengi na huwa na sababu mbali mbali ambazo mimi nitakutajia
kwa kifupi tu kamaifuatavyo:-
1-Mwanamke huitaji kunyegeshwa tena baada ya bao la lake la kwanza,
inategemea lilipopatikana kama kwenye Kipele G, Kwenye Kisimi, Mwisho
wa Uke au kuta za uke. Ikiwa amepata bao "via" kisimi hapo lazima
atahiji muda kidogo wa kupumzika kama dakika kumi 5+ kisha wewe mpenzi
wake ni wajibu wako kumnyegesha tena kwa kucheza na sehemu nyngine za
mwili wake mbali na Kisimi. Inaweza kuwa kum-busu, kumla denda huku
unamshika-mshika na kadhalika.
2-Mwanamke kuwa na uwezo mdogo wa kungonoana (low
sex drive/libido) ni wazi kuwa hamjuani hivyo yawezekana yeye yuko
hivyo na mara baada ya wewe kupiga bao la kwanza ksiha kurudi na
"kumpigisha" yeye bao lake ndio ilikuwa mwisho wa "game" mpaka kesho au
labda wiki ijayo kama sio mwezi mwezi ujao. Kama ulihitaji tena kwenda
basi ulitakiwa kumfaya aendelee kuwa "interested" kiakili nakimazingira
zaidi ya kimwili na pia ungepaswa kutumia kilainisho kwa ajili ya Condom
au hata K-Y Jel.
3-Mwanamke kutokuvutiwa na ufanyaji wako,
kama ulivyosema kuwa ilikubidi uache nje-ndani, swala l a kungonoana ni
pana na sio kusimamisha kisha kupiga nje-ndani mwanzo mpaka mwisho
>>( Kuna wanawake kibao baada ya kibaruti cha kwanza inabidi uanze
upya kuwatuliza a.k.a kuwa NYEGELESHA. Dawa yake kwa wengi usikazanie
NJe ndani Nje ndani sana kama ushambarutisha tayari. Cheza sindimba au
msondongoma katika mduara bila kuvuta filimbi nje wakati unaASALISHA
mambo mengine!Baada yamuda kadhaa wakati unahisi au unasikia pumzi
fulani ndio endeleza pupa kama navyohisi unafanya.Hii hasa kama unacheza
mkao wa kimishenari ).<<
4-Mwanamke kutokuwa na mapenzi pia inaweza kuwa sababu ya Uke wake kuwa mkavu mara baada ya zile nyege mshindo kumalizika/kumtoka
(baada ya yeye kufikia Mshindo), mwanamke kama hana mapenzi huishiwa
hamu ya kuendelea kungonoka haraka sana mara tu baada ya bao lake la
kwanza.
5-Kuchoka au Uvivu,
mwanamke kama kachoka au mvivu hali hiyo ya ukavu ukeni hujitokeza kwa
vile akili yake inakuwa haipo/haizingatii kilekinachofanyika bali saa
ngapi atapata nafasi ya kwenda kulala/pumzika.
Condom
huwa hazisababishi Uke kukauka tena japokuwa inashauriwa kubadili au
kutumia kilainisho kilichotengenezwa kwa ajili hiyo. Makampuni mengi ya
bidhaa hzi yanatoa mafuta maalum kabisa kwa ajili ya kukuongezea ile
hali ya ulaini amabo unakulinda wewe kwa kuzuia Condom
kupasuka/chanikakutokana na ukavu wa Uke na vilevile kumuongezea
mwanamke raha ya tendo.
Condoms
hazimsababishii mwanamke maumivu bali ile hali ya wewe kumfanya
mwanamke mwenye uke mkavu kwa muda mrefu ndio inasababisha maumivu.Ili
ufurahie Ngono basi ni vema ukatafuta mwanamke mmoja umpendae na yeye
akupende na mfanye tendo kwa ushirikiana na kumbuka ku-focus kwenye
kufurahia tendo zaidi kuliko kupiga mabao na mambo yatakuwa bomba
kabisa.
0 comments:
Post a Comment