Msanii Wa Bongo Fleva hii leo Kupitia
Ukurasa wake wa FB ameamua kuweka hizi Picha zenye mwonekano wa
Hekalu(mjengo wa Nguvu) anaoumalizia kuufanyia-renovation
| |
Jumba hilo la Ngvu la Msanii ally Kiba kwa ndani |
|
Akimalizia kuweka sawa maeneo ya master bedroom. |
Hili ni eneo la Nje la Hekalu la Msanii Ally Kiba
0 comments:
Post a Comment