Mauti
ya
kikatili ya mama anayedaiwa kuwa ni mzazi wa diwani wa viti maalu wa
Bukumbi huko wilaya ya Uyui mkoani Tabora yametokea jana tar.
26.02.2014. Kwa mujibu wa chanzo chetu imedaiwa kuwa polisi wanaendelea
na uchunguzi wa chanzo cha kifo hicho cha kuvamiwa mwanamke huyo na watu
wasiofahamika.
Friday, February 28, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment