
 Bi. Kizee anayesadikika kuwa na umri wa miaka 70, ambaye  jina lake  halikuweza kufahamika kwa urahisi  amenusurika kifo baada ya polisi kumnusuru kwa kudaiwa kukutwa akiwa uchi  chumbani kwa mtu   akifanya mambo yasiyoeleweka alfajiri ya leo  Ijumaa Januari 31,2014 

 Bi.  Kizee akiwa kwenye gari la polisi baada ya kuokolewa na polisi kutoka  kwa wananchi wenye asila kali mara tu ya kukutwa kwenye chumba.  Mashuhuda wa mwanzo wanasema Bibi huyo amekutwa akitapatapa bila kujua  la kufanya huku mwili wake ukiwa Uchi na nguo zake  zikiwa pembeni kitendo kinachopelekea kusadikiwa kwamba Bibi huyu ni  mchawi wakati wengine wakisema wasubili taarifa ya Polisi.

 Polisi wakiondoka eneo la tukio wakiwa na  Shuhuda mmoja aliyedai alikuwa miongoni mwa watu waliomkurupusha bibi huyo chumbani.

 Wakielekea kituo cha cha polisi cha Bukoba Mjini leo asubuhi.

 Bibi huyo akiwa kwenye ulinzi mkali baada ya kufikishwa kwenye kituo kikuu cha polisi mjini Bukoba







 3:18 AM
3:18 AM


 
 
 
 
 

0 comments:
Post a Comment