Wema Sepetu
Wema
sepetu ndio anaongoza kwa hili swala la kujisahau stejini na kuacha
“maliasili” zake zikiwa wazi. Hii imemtokea miaka miwili mfululizo.
kwanza mwaka 2011
mjini Morogoro baada ya kupanda stejini na kuanza kuimba pamoja na
boyfriend wake Diamond,lakini hiyo isingetosha kama angeondoka jukwaani
bila kuachia wowowo lake mbele ya mashabiki waliofurika uwanja wa
Jahmhuri kushuhudia burudani za Fiesta 2011!!!.
Kama hiyo haitoshi mwaka 2012 katika Tamasha la Serengeti Fiesta lilipofanyika mkoani Dodoma wema alirudia yaleyale ya mwaka uliopita na tofauti na mwaka 2011 , wema aliomba msamaha mbele ya waandishi wa habari.“ Kiukweli hatujafurahia na tumeumia sana na natumia fursa hii kuomba Msamaha” alisema wema Baby Madaha usiku wa kuamkia Septemba 17, mwaka 2012 kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro ambako kulikuwa na tamasha kubwa la Serengeti Fiesta wananchi walimshuhudia Baby Joseph Madaha akijikuta akiumbuka mbele ya mashabiki wake baada ya matiti a.k.a nido zake kuchomoza na kuonekana hadharani akiwa jukwaani. Aunty Ezekiel
Pia Aunty Ezekiel aliungana na Wema Sepetu katika kutia aibu fiesta dodoma mwaka 2012. Aunty Ezekiel naye aliungana na Wema kuita vyombo vya habari na kuomba msamaha.

0 comments:
Post a Comment