Sunday, March 2, 2014

Hii ndio list ya Celebrities ambao kwa mwaka huu kweli unaweza kusema ndio wanaongoza kwenye upande mzima kimuonekano, according to a research done by vibe magazinetz imefanikiwa kupata kura zinazonyesha kuwa hawa ndio wanastahili kuwa kwenye top 3 ya wanamuziki wenye mvuto zaidi.Talking about being sexy its not about kuwa na sura nzuri au kazi nzuri ya muziki msanii anayoifanya bali ni muonekano wa body jinsi ulivyojengeka,hii ni moja ya list ambayo at some point unaweza kumfanya mtu asiamini kumuacha girlfriend wake peke yake hata kwa dakika cause lolote linaweza kutokea katika dakika,talking about ladies wana go crazy pale wakutanapo na hawa Celebz.
Diamond Platnumz Also known as sukari ya warembo,Nii mwanamuziki wa kitanzania aliyeweza kupata mafanikio katika kipindi kifupi tu na kuendelea kustay on top, kushikilia anga za muziki wa bongo fleva na kufanikiwa kuitangaza nchi mbali mbali za africa na nje ya mipaka hii ya Tanzania,He is one of the caeleb ambaye he drives ladies crazy popote aonekanapo,si Tanzania tu hadi nje ya hapa Tz awapo on tours zake zakimuziki.

Ali Kiba
Talking about legends kwenye game ambao wenye nyota ya kupendwa na watu,si mwingine bali ni ali kiba himself,huyu ndio celeb wa kipekee ambaye anaweza kukaa hata mwaka bila kutoa hit yoyote na bado watu wakiendelea kumkubali kwa track zake za zamani zipigwapo redioni,na kuzidi kuwa requested katika media za hapa tzee na Nje ya mipaka hii ya Bongo,he is the sexiest celeb of all time,anakila aina ya feature inayomfanya akae on top.

Jux Vuitton

0 comments:

Post a Comment

Click here

Click here

Popular Posts