Saturday, March 15, 2014

IMAMU mmoja ambaye hakufahamika jina lake wa msikiti wa Kisesa Jijini Mwanza, amenusurika kuuawa baada ya kuvamiwa na Waislam wenzake akiwa kituo cha polisi Kisesa anaposhikiliwa kwa wizi wa nguruwe ‘kitimoto’.

                                                   Picha haihusiani na tukio hilo
Waislam hao walivamia kituo cha polisi  baada ya kupata taarifa za Imamu huyo kudaiwa kuiba nguruwe ambaye anajua ni najisi kwenye dini ya Kiislam.

GPL

0 comments:

Post a Comment

Click here

Click here

Popular Posts