Uigizaji kaazi kweli kweli...Unaambiwa ukienda kuigiza movie Hollywood hakuna masikhara
 hata kidogo, unapoambiwa huu ni muda wa scene ya mapenzi na lazima uwe 
mtupu ni lazima ufanye hivyo no way out...Hivyo ndivyo ilivyomkuta star 
wa dunia anayetoka hapa East Africa katika nchi ya Kenya mdada Lupita Nyong'o ambaye ni mshindi wa tuzo ya Oscar ambazo ndio kubwa zaidi ulimwenguni...

Lupita katika scene mojawapo ndani ya movie iliyompa tuzo hiyo iitwayo 12 years a slave ilimpasa acheze akiwa hajavaa kitu juu (matiti wazi) kma inavyoonekana pichani chini...Kwa waliongalia movie hiyo watakuwa wameliona hili...
 
 3:34 AM
3:34 AM

0 comments:
Post a Comment