Mtoto wa kiume anayekadiriwa kuwa na miezi 6 ambaye hajatambulika jina 
lake wala makazi amekutwa amefariki dunia kichakani baada ya kutupwa na 
mtu asiyefahamika katika kijiji cha Mhongolo wilayani Kahama
Afisa Mtendaji wa Kijiji hicho Ally Manyama amesema kuwa  baada ya 
kufika eneo la tukio alikuta mwili wa mtoto huyo ukiwa umeviringishwa 
katika kitenge na kutupwa kichakani katika eneo hilo.Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limethibitisha kutokea kwa tukio hilo 






 12:31 AM
12:31 AM


 
 
 
 
 

0 comments:
Post a Comment