Njemba moja ambaye jina
lake halikuweza kufahamika kwa mara moja amekutwa na dhahma kubwa ya
mwaka. Dhahma hiyo ya kuvuliwa nguo zote na kutembezwa maeneo mbalimbali
ya Jiji la dar es salaam ilimkuta baada ya kufumaniwa akitembe na mke
wa mdosi. www.gwijilahabari.blogspot.com
Jamaa akiwa ndani ya gari maeneo ya bank ya NBC huku watu wakimshangaa na kuhamaki.
0 comments:
Post a Comment