Mara nyingi ikitajwa listi ya watu maarufu wanaojua kupendeza basi jina la Jux huwa halikosi kwenye hiyo list.
Hata wakati mwingine akitajwa kuwa yeye ndiyo mkali wa kupiga pamba kwa mastaa wa hapa bongo.
Hawa ni watu watano ambao Jux anasema anawakubali jinsi wanavyopangilia nguo zao kwenye matukio na mitoko mbalimbali.
List hii ni bila kujali nani wa kwanza wala wa mwisho.
Unaionaje list yake, unadhani nani mwingine angestahili kuwepo kwenye hii listi?
0 comments:
Post a Comment