Msanii
maarufu wa bongo fleva Mama wa Majanga Snura aka Snu Sex afanya mambo
ya kustajabisha ambayo hayana longo longo wala nini...
Kupitia website ya Boss Ngasa tulipata mtonyo kutoka kwa rafiki wa karibu wa
snura kuhusu swala la msanii huyu kushiriki ktk swala la ndumba...
Kutokana na taarifa hizo mtandao huu ilifanya uchunguzi wa kina kwa
kumfwatilia Msanii huyu, ambapo siku ya leo mtego wetu
ulinasa kwenye 18 baada Msanii huyo kutinga kwa mganga kwa swaga ambazo
hata mtu wake wa karibu ilikuwa vigumu kumtambua, Ila kwa juhudi za
matandao huu mpana ulimfumania live snu sex akiwa amebebea Jogoo
jekundu akiwasili kwa sangoma na kufanyiwa ndumba...
0 comments:
Post a Comment