Baada ya aliyekuwa mpenzi
wa Ray C, Lord Eyes kukamatwa kwa tuhuma za kuiba laptop na mpaka
kuwekwa ndani kwa tuhuma hizi Ray C aamua kufunguka na kuonge ya moyoni
kwa mpenzi wake huyo wa zamani, Tukio la wizi kwa Lord Eyez siyo mara ya
kwanza kwani hapo awali aliawahi kukamatwa kwa tuhuma hizo hizo za wizi
ila ilikuwa wizi wa PowerWindow za gari ya Ommy Dimpoz mpaka kufikia
hatua ya kuwekwa ndani. Hiki hapo chini ndicho alichosema Ray C juu ya
mpenzi wake huyo wa zamani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment