Friday, July 11, 2014

Screen Shot 2014-07-11 at 9.42.15 AM
Baada ya kuripotiwa kuwepo kwa mabadiliko ya noti ya sh. 500 ambayo itaacha kutumika siku chache zijazo nchini Tanzania na mbadala wake kuwa sarafu ya shilingi 500, Watanzania mbalimbali wamekuwa na wasiwasi na taarifa hiyo pamoja pia na kuamini uchumi wa nchi unaanguka.

Mchumi wa benki kuu kwenye kurugenzi ya utafiti na sera za uchumi Lusajo Mwankemwa ambae amejibu hizo headlines kwa kusema hiki kifuatacho.
‘Kwa niaba ya benki kuu ya Tanzania amewatoa hofu kuhusu haya mabadiliko na kusema haijaja kutokana na ukuaji na ushukaji wa uchumi wa nchi ya Tanzania, yaani kuanza kutumika kwa hii sarafu hakuhusiani na Tanzania kushuka kiuchumi’
Screen Shot 2014-07-11 at 9.44.35 AM
‘Noti ya 500 imeonekana inachakaa sana ndani ya miezi 6 kutokana na kuwa na mzunguko mkubwa ikilinganishwa na noti nyingine na haipitii ule mfumo wa kawaida wa kibenki kurudi benki kuu kwa ajili ya kuibadilisha, tulitarajia Mwananchi anapokwenda bank kupeleka pesa zake basi na 500 iwe miongioni mwa hizo pesa ili tuzibadilishe kwa kutoa noti mpya ambazo tunazo benki kuu lakini haijawa hivyo’

‘Tumegundua Mwananchi anaitumia ile mia tano huku chini ambapo pesa anazopeleka benki ni shilingi elfu mbili, elfu 5 na elfu 10 lakini 500 anabakiza kwenye droo kwa ajili ya matumizi madogomadogo, matokeo yake inatumika huku chini kwenye mikono ya watu na haipati kurudi kwenye mfumo wa kibenki kubadilishwa ndio maana tumeona ni busara kuiondoa na kuleta sarafu’
‘Kiuchumi hili halina muingiliano wa moja kwa moja, itambulike kwamba kinachofanywa ni kuondoa noti ya 500 yenye thamani ya 500 na kuleta sarafu yenye thamani ileile ya shilingi 500, kwahiyo thamani iko palepale’



“Siwezi kumwacha, nikimwacha nitakuwa sitendi haki”..... Picha pamoja na habari kamili kuhusu binti huyu na mstaa zipo chini ya uchunguzi, Utazipata baada ya kukamilisha uchunguzi kwa pande zote msanii mmoja baada ya mwingine
Latest news zinasema kuwa star wa filamu nchini Irene Uwoya amekutana faragha Nairobi, Kenya na star mwenzake wa muziki toka nchini humo Jaguar. 
 
Chanzo kimoja kilicho karibu na Uwoya kikizungumza nasi  kimesema kuwa wawili hao kuna deal wanafikiria kufanya pamoja lakini hana uhakika mpaka sasa ni deal gani “Uwoya na Jaguar wamekutana faragha kuna issue zao wana-talk ila sijui ni deal gani hizo, nitakupa updates” kilisema chanzo hicho.
IRENE UWOYA
IRENE UWOYA
Hata hivyo chanzo kingine kutoka Kenya kimesema kuwa kimewaona Uwoya na Jaguar katika hotel moja jijini Nairobi wakiwa katika mikao ya kimahaba a.k.a zero distance ” Hi, I have seen Irene Uwoya with Jaguar in a hotel in Nairobi they looked like an item, hawa celebs sio predicted” kilisema chanzo hicho
jaguar
Mwandishi alijaribu kumsaka Uwoya lakini namba yake haikupatikana, hata hivyo juzi Uwoya aliweka picha akiwa Julius Nyerere International Airport akisema anaenda Nairobi ingawa hakuweka wazi kama anaenda kikazi au lah .
Manaiki alibaki kuangua kicheko ambacho kilitoa jibu la moja kwa moja kuwa hajiwezi kwa Diana ambaye kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo anavyozidi kujiimarisha kwenye tasnia ya filamu Swahiliwood.
 
Pia kupitia mitandao ya kijamii Manaiki amekuwa akiandika ujumbe na kupost picha akiwa na Diana. moja wa ujumbe huo ni huu:
diana kimaro
 
 “#love #never #die japokua haupo na Mimi ila everyday mi naku feel baby sijuwi kupendwa kama we ulivyokua unanipenda na hiyo ni habari ya mjini”
manaiki

Wednesday, July 2, 2014


denti mmoja wa chuo kimoja ambacho tusingependa kukitaja jina kwa kuhofia maadili, amejikuta akipata aibu ya mwaka baada ya picha zake za faragha kusambaa kwa kasi ya ajabu mtandaoni , denti huyo anayesoma masomo ya biashara inadaiwa alikusanya kazi ambayo waliachiwa na mwalimu wao sasa kwa bahati mbaya alisahau kuzifuta kwenye frash na ndipo zikasambaa,
hapo
haijajulikana bado zimevujishwa na nani kati ya mwalimu au huyu jamaa tunayekusanya kazi kwake hili ampelekee mwalimu alizungumza rafiki wa karibu wa denti huyo,akome kwani amezoea amewahi kupiga zingine bhana unabisha?
hivi sasa rafiki yangu. hasomi amechanganyikiwa anahofia siku baba yake atakapoziona picha hizo kwani anasema ni mkali mpaka anamuogopa, jamani ushauri tu mabintimsijiachie sana na camera zitawaponza kama huyu dada, ni hayo 

BOFYA PICHA YA UCHI HAPA



Wema Sepetu ”In my shoes” Episode 20 Fashionista shopping + Bunyero nite. Aunt Ezekiel na meneja wa Wema, Martin Kadinda ndani ya episode.
Dakika 14 za mwanzo ni mambo ya shopping na kwa kiasi fulani inachosha. Baada ya hapo, Martin Kadinga anawashukia Wena na Aunt kuhusu mpango wa kuhudhuria Bunyero (Kibao Kata) na hapo ndio burudaniinapoanza




Rapper Shetta amedai kuwa baada ya kutoka kwa video yake mpya ya Kerewa tayari ameshaanza kupata deal za pesa ambapo DSTV wameshaonyesha nia ya kufanya kazi na msanii huyo.





Akizungumza Shetta amesema kuwa tayari wapo kwenye mazungumzo na no na DSTV na hivi karibuni kila kitu kitakuwa wazi.

“Wakati Diamond ananiambia ‘weka hela Shetta usiogope kuweka hela kutangaza muziki wako kuwa tofauti na wanamuziki wengine, fanya muziki wako kufika mbali’, akimaanisha soko la Afrika nikaona kama ananitania hivi, almost alikuwa ananiambia kama milioni 20 hivi ukiitoa ile hela ambayo Godfather ninamlipa, nikaona mbona ni pesa nyingi sana.

Lakini nimejaribu kudhubutu, hiki unachokiona ni king’amuzi cha DSTV ni kama fursa ambayo nimekutana nayo ni deal ambayo ikiwa rasmi zaidi watu watagundua nini ambacho kimetokea, lakini mpaka hapa tulipofikia ni kama nusu yake au robo tatu yake.

Godfather aliniconnect na watu wa DSTV, tukafanya makubalianao na makaratasi yapo.

Video yangu imepata rotation kubwa sana, katika station zote ambazo zinaonekana DSTV, na wamenifollow kwenye akaunti zangu, wananitangazia vitu vyangu kwenye akaunti zao, kwahiyo hiyo ni deal kwa upande wangu.

Thanks to Diamond, thanks to Tale na watu wote ambao wamenisupport. Kwahiyo sijutii kwa pesa niliyoweka,” alisema.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Kamishna Suleiman Kova.


Watu wawili wamekamtwa kwa tuhuma za mauaji ya Sista Clesencia Kapuli (50) wa Kanisa Katoliki,  aliyekuwa Mhasibu katika Shule ya Sekondari Mwenyeheri, jijini Dar es Salaam.


Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema watu hao ni kati ya watu wanane waliokamatwa kwa tuhuma za ujambazi sugu wa kutumia silaha.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova, alisema watu hao walikamtwa juzi  katika operesheni iliyofanywa na jeshi hilo kwa kutumia vikosi maalum.

Alisema licha ya majambazi hao wawili kuhusika katika tukio la mauaji ya sista huyo, lakini pia walihusika katika tukio la kupora fedha katika benki ya Barclays tawi la Kinondoni miezi michache iliyopita.

Aliwataja waliohusika hao wa  mauaji ya Mtawa kuwa ni Manase Ogenyeka (35), mkazi wa Tabata na Hamis Ismail, mfanyabisahara na mkazi wa Magomeni Mwembechai.

Watuhumiwa wengine ni Beda Mallya (37), mkazi wa Mbezi Msakuzi; Michael Mushi (50), mfanyabiashara na mkazi wa Mbezi Makabe; Sadick Mohamed (32), mfanyabiashara, mkazi wa Mbagala Kizuani; Elibariki Makumba (30); Nurdin Suleiman (40), wote wakazi wa Buguruni Madenge, pamoja na Mrumis  Saleh (38), mkazi wa Kigogo Freshi.

Pia Jeshi la Polisi limesema linaendelea na operesheni hiyo pamoja na kuwatafuta watuhumiwa wengine waliohusika katika tukio la maujai ya  sista Kapuli, Juni 23, mwaka huu, pamoja na jambazi mmoja aliyehusika katika tukio la wizi wa fedha katika benki ya Barclays. 

Sista huyo ambaye  alikuwa mhasibu wa Shule ya Sekondari Mwenyeheri iliyopo Makoka wilayani Kinondoni, aliuawa Juni 23, mwaka huu  kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazio waliokuwa katika pikipiki aina ya Boxer.

Sista Kapuli alivamiwa na majambazi hao baada ya kutoka benki Mlimani City akiwa katika gari aina ya Pick up double cabin yenye namba za usajili T 213 CTZ.


via>>Nipashe

Sunday, May 4, 2014

Red Carpet, Casto Dickson akiongea na Victoria Kimani
 Binamu Mwana Fa akitoa burudani ya Kipekee huku akiwa amegusa hisia za mashabiki wake pale alipoingia na Wamasai kwenye Jukwaa.

 Mpoki na Shadee ndio wali Host mwanzo mwisho


 JB akimkabidhi Young Killer Tuzo ya Msanii Bora Chipukizi



 Chibwa akiwa amepata Tuzo ya Wimbo bora wa Ragga / DanceHall

 Dabo na Tuzo ya Wimbo bora wa Reggae

 Ommy Dimpoz akiburudisha na Vanessa Mdee (V.Money)


 Wakimuwakilisha Mzee Yusuph kupokea Tuzo yake

 Msaga Sumu akimkabidhi Isha Mashauzi Tuzo

 Burudani ikaendelea


 Wyre na Amani kutoka Kenya wakimkabidhi Luiza Mbutu Tuzo ya Msanii Bora wa Kike Bendi



 Weusi wakitoa burudani

 Madee akitoa burudani


 Choka akipokea Tuzo ya Lady Jay Dee

 Wema akimkabidhi Tuzo Diamond






























Click here

Click here

Popular Posts