Baada ya kuenea kwa picha na video inayomuonesha PNC akiwa
amepiga magoti akimuomba msamaa ustadhi juma na musoma ili aendelee kumsimamia
kazi zake na wengi kutafsiri picha hizo kama ni udharirishwaji kwa msanii
PNC,SwahiliInFoBlog imepiga story na PNC kujua mtizamo wake,
PNC amesema kila mmoja anaongea la kwake kuhusu hizo picha
lakini yeye anaona ni sawa kwani maneno huja na kusahalika ilimradi kazi zake
zinzendelea
“Mimi sikujua chochote tulikuwa tupo pale kama watu watatu
hivi ,kuna mmoja ndo alikuwa anapiga picha sijui ndo aliambiwa arekodi au laah sijaelewa
chochote lakini mi mwenyewe nimeshangaa nimekuja kuona hivyo kwenye mtandao ,lakini
poa kwasababu mimi nilikuwa na mwambia nam-please naomba msamaa lakini mimi
sijaona hatari yoyote wa hizo picha, kuomba msamaa sio ujinga ni kitu cha
kawaida”
“Amenisamehe mimi naamini amenisamehe kwasababu nimeshaanza
na project nyingine kwa Mazuu amenilipia pale”
0 comments:
Post a Comment