
Kwanza tunaanza na nyimbo zake yeye mwenyewe. Nyimbo zake nyingi ameandika kutokana na historia ya kweli iliyowahi kumtokea na ikiwa ni kuumizwa na wapenzi wake wa zamani au yeye kuwapiga vibuti. Nyimbo ya mawazo na kamwambie ni nyimbo yenye hisia kali aliyomwandikia demu mmoja anayeitwa sara aliyempiga kibuti na kuolewa na mtu mwenye pesa. Nyimbo ya mawazo alimuimbia jackline wolper , huku nyimbo ya ukimwona akiimba kupeleka ujumbe kwa demu wake wa sasa wema sepetu ambapo kipindi hicho ndio alikua amepigwa kibuti. Ukiachana na hao diamond ashawahi kua na mahusiano na demu penny na jokate mwengelo.
Hit Maker?

Money Maker ?

onelovetz
0 comments:
Post a Comment