Hivi
punde kumetokea tukio la kutisha huko Sobral,Caera-Brazil baada ya
kijana mmoja aliyechukua maamuzi magumu juu ya maisha yake.kijana huyo
ambaye jina na chanzo cha yeye kujiuwa hakijafahamika mpaka sasa aliamua
kujilaza katika reli na kupitiwa na treni ya mzigo katika mgongo wake na kumsababishia kupoteza maisha yake.
Police katika jimbo la Caera wanaendelea na uchunguzi watukio hili na utambuzi wa ndugu wa marehemu.
Police katika jimbo la Caera wanaendelea na uchunguzi watukio hili na utambuzi wa ndugu wa marehemu.
0 comments:
Post a Comment