NI AJABU NA INASTAJABISHA:Mchangamle kizimkazi,walikusanyika na kumshanga samakihuyu wa ajabu ambae wavuvi na wakazi wa maeneo hayo hawakuwahi kumwona,maana samaki huyu aelewiki ni CHUI, DUMA au ni nini.Nikaona nisistajabike mwenyewe nikuweke hapa wewe mpitiajiwa This is diamond upate kujua yanayoendelea Dunia. kwangu mimi ni ajabu sijawahi kuona kiumbe kama hicho.
Tuesday, February 4, 2014
1:01 PM
Unknown
MAJANGA, SOCIAL
No comments
Related Posts:
HIZI NDIO VITA 10 MBAYA ZAIDI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA DUNIA Ever since the evolution of man-kind, there has always existed this peculiar rage & urgency in our race to prove one’s dominancy upon the other. We all know that in ancient gladiator times power was determined by… Read More
HAYA NDIO MADHARA YAKUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE Tunapoamua kufanya jambo sio kwamba tunafuata mkumbo au kulazimishwa bali ni our choice Kufanya ngono kusiko a.k.a 0713 “MWIKO” katika jamii nyingi Ulimwenguni sio kwa vile tu inamaanika kuwa ni uchafu na inamadhara makub… Read More
UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2015 KUAHIRISHWA Frederick Mwakalebela akiwa na raisi JK MWANASIASA na mdau wa soka kijana, Frederick Mwakalebela ametabiri kuwa ikiwa malumbano ndani ya Bunge Maalum la Katiba linaloketi mjini Dodoma litaendeleza malumban… Read More
BREAKING NEWS: MTANGAZAJI WA CHANNEL 10 APATA AJALI MBAYA Mtangazaji wa Channel Ten, Salum Mkambala (pichani) amepata ajali ya gari ambalo alikuwa akiendesha kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro. Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi wa Channel Ten ambaye ameidokeza Global Publish… Read More
FREEMASON WAVAMIA KANISA LA MCHUNGAJI GWAJIMA Stori: Waandishi Wetu WATU wanaodaiwa kuwa ni wa imani ya Freemason wametua ndani ya ibada katika Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Kiongozi Jo… Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment